Rais wa Yanga aisifia Simba kuwa wana timu nzuri sana na wamefanya uwekezaji mkubwa wa billion 7

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106

“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
 
Akamwagia sifa na Mangungu.
Screenshot_20240821_202626_Instagram.jpg
 
“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.

View attachment 3075892
Naona anasifia iliyokuwa the weakest link siku ile. Ukiacha mipira ya faulo, Balua hakuwa tishio kwa Yanga siku ile.

Ni kweli Balua anahitaji aongeze sana jitihada lakini zaidi aongeze maarifa, ana weak footwork. Pamoja na urefu wa miguu yake hawezi kuulinda mpira mguuni mwake kwa sababu anachukua muda mrefu kufanya maamuzi inayopelekea kunyang'anywa mpira kirahisi.
 
Kuna angle Simba akipata foul na Balua akatulia lazima mshike roho
 
October tukiwa kanda hizi kejeli zitaisha
Hii Comment yako na ihifadhi, ila hauna timu hata ya kudroo na Yanga,ile mechi ya juzi kama kungekuwa na VAR ulikuwa unakula nne. Ile mechi ya juzi uliyoshinda kuna wachezaji watano wa nnje wa Tabora ambao walikuwa hawana vibali hawajacheza so husijione una unatimu.
 
“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.

View attachment 3075892
tunaoangalia kwa jicho la ki-zayuni na tuliosoma security tunajua kabisa hersi anachofanya kwa simba ni social engineering, so mnyama awemakini asipoteze focus
 
Back
Top Bottom