Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huyu kweli ni Injinia.Akamwagia sifa na Mangungu.
View attachment 3075998
MockeryAkamwagia sifa na Mangungu.
View attachment 3075998
Huyu kweli ni Injinia.
October tukiwa kanda hizi kejeli zitaishaAkamwagia sifa na Mangungu.
View attachment 3075998
Naona anasifia iliyokuwa the weakest link siku ile. Ukiacha mipira ya faulo, Balua hakuwa tishio kwa Yanga siku ile.“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
View attachment 3075892
Hii Comment yako na ihifadhi, ila hauna timu hata ya kudroo na Yanga,ile mechi ya juzi kama kungekuwa na VAR ulikuwa unakula nne. Ile mechi ya juzi uliyoshinda kuna wachezaji watano wa nnje wa Tabora ambao walikuwa hawana vibali hawajacheza so husijione una unatimu.October tukiwa kanda hizi kejeli zitaisha
kamuulize raisi wakoSimba hii hii ya Ubaya ubwela
tunaoangalia kwa jicho la ki-zayuni na tuliosoma security tunajua kabisa hersi anachofanya kwa simba ni social engineering, so mnyama awemakini asipoteze focus“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
View attachment 3075892
Mdogo angu GENTAMYCINE akizisoma hizi sifa alizomwagiwa Mwenyekiti wake Mangungu na Injinia; anaweza akatembea kwa miguu mchana wa jua kali, kutoka Kawe mpaka Mbagala Chamazi kwa hasira tu.Akamwagia sifa na Mangungu.
View attachment 3075998