Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Oscar Seleman vipi unalingana kimaisha na Eng. Hersi au unamdharau kwenye keyboard?Hako kajamaa kanapiga kampeni kwa staili ya kishamba sana
Kwani ni uongo,hiyo style ya kampeni ni ya kishambaOscar Seleman vipi unalingana kimaisha na Eng. Hersi au unamdharau kwenye keyboard?
Mimi nakufahamu vizuri sana.
SawaKwani ni uongo,hiyo style ya kampeni ni ya kishamba
Na ni mshamba kama ww
Oscar Seleman ndio nani naona mara kadhaa umenikomalia na hilo jina japo nimekuwa nakupuuza kwasababu najua haupo seriousOscar Seleman vipi unalingana kimaisha na Eng. Hersi au unamdharau kwenye keyboard?
Mimi nakufahamu vizuri sana.
Huyu Hersi angetufaa sana wanasimba kuliko Mangungu.
Amekatwa jinaHako kajamaa kanapiga kampeni kwa staili ya kishamba sana
Weka kinyume chake utamuelewa vizuriHako kajamaa kanapiga kampeni kwa staili ya kishamba sana
Weka kinyume chake utamuelewa vizuri
Atabakia Yanga ili aendelee kuwakosesha furaha Makolo
Hapo Kigamboni hata angeenda Makonda wangemla kichwa
Alivyosikia tetesi MO kamuachia Fadlu password za Bank jamaa yenu alitaka kukimbia aibu ambayo inakuja kuwakabili ionekane ni kwasababu yeye amepata majukumu mengineAtabakia Yanga ili aendelee kuwakosesha furaha Makolo
Shafii Dauda amepenyaHapo Kigamboni hata angeenda Makonda wangemla kichwa