Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Jela ya South Africa Ni Kama chumba Cha hoteli Hapo Unguja. Punguza chokochoko!Tokea kuwa rais Hadi kuwa mfungwa....
Haki,sheria na katiba ziheshimiwe
Hujui usemalo. Kuna majadiliano yamefanyika makali sana kati ya Zuma na police minister Bheki Cele. Damu ingemwagika kama Zuma angekataa kujisalimisha. Kilichofanyika ni kwamba Zuma ameshauriwa akubali kujisalimisha ili kuepusha "mgogoro wa kikatiba" maana alikuwa na uwezo wote wa kutokujisalimisha na police wangenywea kumkamata, na kama wangethubutu kumkamata machafuko makubwa sana yangetokea. Kwa hiyo busara imetumika ili kuwaaminisha wasouth africa kuwa no one is above the law. Na kaondoka kwenye kasri lake na msafara wa magari kibao kuelekeo polisi akiwa na wapambe kibao nyuma yake.Wapo watu walikua wanadanganyana kuwa eti Zuma watamlinda jana police imetoa Tangazo siku ikiisha bila kujisalimisha atakamtwa kwa nguvu wahuni wote wamerudi nyuma ambao walisema damu itamwagika Zuma hawawezi kukamatwa...
Si jela zoteJela ya South Africa Ni Kama chumba Cha hoteli Hapo Unguja. Punguza chokochoko!
Mzee ana Ngwengwe huyo Lazima wamuandalie pazuriSi jela zote
Hakuna cha damu kumwagika Wala nini,ye atulie akasafishwe mtaro.Hujui usemalo. Kuna majadiliano yamefanyika makali sana kati ya Zuma na police minister Bheki Cele. Damu ingemwagika kama Zuma angekataa kujisalimisha. Kilichofanyika ni kwamba Zuma ameshauriwa akubali kujisalimisha ili kuepusha "mgogoro wa kikatiba" maana alikuwa na uwezo wote wa kutokujisalimisha na police wangenywea kumkamata, na kama wangethubutu kumkamata machafuko makubwa sana yangetokea. Kwa hiyo busara imetumika ili kuwaaminisha wasouth africa kuwa no one is above the law. Na kaondoka kwenye kasri lake na msafara wa magari kibao kuelekeo polisi akiwa na wapambe kibao nyuma yake.
[emoji28][emoji28][emoji28]Acha akapigwe miti.
Alisema akiwa mahakamani Kwamba alitumia maji ya baridi kuosha ndonga yake haraka Sana alipomaliza kumkamua yule dada mwenye ukimwi.Mzee ana Ngwengwe huyo Lazima wamuandalie pazuri
Mzee ana balaa huyuAlisema akiwa mahakamani Kwamba alitumia maji ya baridi kuosha ndonga yake haraka Sana alipomaliza kumkamua yule dada mwenye ukimwi.
Dishi limeyumba nadhani.Mzee ana balaa huyu