Duuh!Acha akapigwe miti.
Unadhani katiba ya south afrika nikama yenu tz.poleyakoWakati mwingine wanawajibika wao kwa makosa ya watendaji wengine,na nchi za kiafrica rushwa kwa watendaji wa serikali imeshamiri sana,hivyo basi mi kwa upande wangu sikubaliani na kitendo cha kumfunga rais.
Pamoja na mambo yote, Tunaipongeza SA kwa kupiga hatua kubwa ktk kuheshimu Katiba yao na Sheria. Nobody should be above the law. Nchi nyingine za Afrika tuige mfano huu hususani Tanzania.Hujui usemalo. Kuna majadiliano yamefanyika makali sana kati ya Zuma na police minister Bheki Cele. Damu ingemwagika kama Zuma angekataa kujisalimisha. Kilichofanyika ni kwamba Zuma ameshauriwa akubali kujisalimisha ili kuepusha "mgogoro wa kikatiba" maana alikuwa na uwezo wote wa kutokujisalimisha na police wangenywea kumkamata, na kama wangethubutu kumkamata machafuko makubwa sana yangetokea. Kwa hiyo busara imetumika ili kuwaaminisha wasouth africa kuwa no one is above the law. Na kaondoka kwenye kasri lake na msafara wa magari kibao kuelekeo polisi akiwa na wapambe kibao nyuma yake.
Kufungwa ni kufungwa tu, hata kama ni pazuri kama Ikulu.Jela ya South Africa Ni Kama chumba Cha hoteli Hapo Unguja. Punguza chokochoko!
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela.
Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi cha wilaya ya Kwa Zulu-Natal....
Tunataka Katiba Mpya Yenye Kumfunga speed governor na Kumtiisha tutakayemchagua Kuwa Kiongozi wetu Mkuu wa Kitaifa "President" Hatutaki tena U-Mungu Mtu . Maswala ya Kutesana na Upendeleo wa waziwazi. Tunataka Nchi ya watu Huru wenye kutii sharia tulizojiwekea, wenye Kuchugua Viongozi tunaodhani watakidhi Matakwa yetu na sio Kuchaguliwa na mtu mmoja ili wamwabudu. Tunataka KATIBA MPYA yenye kuleta usawa katika Jamii. Katiba itakayokuwa inatoa dira na yenye kutafasiliwa na sharia bila Kujichanganya. Tunataka KATIBA itakayompa Raia wa kawaida kuamua hatima ya Maisha yake.
Hiyo ni wazo lako tu hakuna facts zozote.Kwani busara si ndo sehemu ya kazi ya polisi,kwanza ushauri then nguvuHujui usemalo. Kuna majadiliano yamefanyika makali sana kati ya Zuma na police minister Bheki Cele. Damu ingemwagika kama Zuma angekataa kujisalimisha. Kilichofanyika ni kwamba Zuma ameshauriwa akubali kujisalimisha ili kuepusha "mgogoro wa kikatiba" maana alikuwa na uwezo wote wa kutokujisalimisha na police wangenywea kumkamata, na kama wangethubutu kumkamata machafuko makubwa sana yangetokea. Kwa hiyo busara imetumika ili kuwaaminisha wasouth africa kuwa no one is above the law. Na kaondoka kwenye kasri lake na msafara wa magari kibao kuelekeo polisi akiwa na wapambe kibao nyuma yake.
ANGEKUJA TANZANIA Hakuna KIONGOZI wa KUFUNGWA wote WAMEJIWEKEA KINGARais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela.
Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi cha wilaya ya Kwa Zulu-Natal.
Msemaji wa polisi Lirandzu Themba amethibitisha kuwa Zuma yuko chini ya ulinzi wa polisi baada ya kujisalimisha.
Dakika chache tu kabla ya muda wa mwisho aliyopewa na korti kujisalimisha kwa hiari kabla ya polisi kumkamata, Zuma aliondoka nyumbani kwake Nkandla akisindikizwa na msafara wa magari.
Ana ngoma huyuHakuna cha damu kumwagika Wala nini,ye atulie akasafishwe mtaro.
Jela zao Sio kama zetu. Na vile ni former president, hawezi patwa na misukosuko yoyote huko jelaAcha akapigwe miti.