Rais wa zamani wa Ufaransa, Sarkozy kuanza kifungo cha miaka 5 Jela

Karma boomerangs.
Kachukua pesa za Ghadaf kisha akashawishi wahuni wenzie wa NATO wakamuua ili asije akatoa siri.
He thought by killing him, they were tying loose ends.
Mbongo mpe kichwa cha habari
 
Wanafunga wengine wengine wanaoja raha.

Joseph Kabila yuko analia hana wamlkumsaidia.

Nchi ileile aliyotawala imemgeuka.
Joseph Kabila angekuwa alipata kuwa Rais wa Ufaransa na akafanya yale aliyofanya kwenye madaraka yake basi angefungwa maisha.
Na angefanya haya anayofanya baada ya kustaafu basi si tu kufungwa bali angelazimisha Ufaransa irudishe upya adhabu yake ya zamani ya kinyama ya kunyongwa kwa guillotine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…