ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa.
Bwana Hichilema ambae alitokea Upinzani amesema atawashighulikia wote wanaotaka kuharibu Umoja wa Nchi hiyo kwa visingizio vya Demokrasia.
My Take
Hapa kwetu Tanzania kina watu ,Vyama na Vikundi vya wanaharakati ambao wamekuwa wakitoa matamshi ya chuki na yanayolenga kuleta Mgawanyiko wa Tanzania Kwa misingi ya ukabila na maeneo wanakotokea Kwa maslahi ya Kisiasa wakidai hiyo ni Demokrasia.
Wamekwenda mbali zaidi wakidai Wao ni Watanganyika hivyo Wazanzibar wanawauza.
Nitoe Wito Kwa Serikali kutowachekea Wala kuwafumbia macho watu wa dizaini hii Kwa sababu Wana Nia ovu ya kuvuruga amani na utaifa Wetu huku familia zao zikiishi huko Ughaibuni Kwa waliowatuma.