Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa.
Bwana Hichilema ambae alitokea Upinzani amesema atawashighulikia wote wanaotaka kuharibu Umoja wa Nchi hiyo kwa visingizio vya Demokrasia.
Your browser is not able to display this video.
My Take
Hapa kwetu Tanzania kina watu ,Vyama na Vikundi vya wanaharakati ambao wamekuwa wakitoa matamshi ya chuki na yanayolenga kuleta Mgawanyiko wa Tanzania Kwa misingi ya ukabila na maeneo wanakotokea Kwa maslahi ya Kisiasa wakidai hiyo ni Demokrasia.
Wamekwenda mbali zaidi wakidai Wao ni Watanganyika hivyo Wazanzibar wanawauza.
Nitoe Wito Kwa Serikali kutowachekea Wala kuwafumbia macho watu wa dizaini hii Kwa sababu Wana Nia ovu ya kuvuruga amani na utaifa Wetu huku familia zao zikiishi huko Ughaibuni Kwa waliowatuma.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH ametoa Onyo Kali Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa.

Yes,
ni mihimu sana kama taifa,
kuzingatia sheria na katiba ya nchi katika kutumia haki na uhuru wa kila moja wetu, ili kutokuhatarisha umaja, amani na utulivu wa nchi katika kusonga mbele kimaendeleo...
ukimya, ustaarabu, ustahimilivu, na heshima ya viongozi wakuu wa nchi, visitumiwe vibaya na wanasiasa, asasi za kurai na wanaharakati mbalimbali kuchochea migawanyiko, chuki na uhasama miongoni mwa wananchi na vyombo vya ulinzi na usalama, lakini pia na serikali kwa ujimla...
mila, desturi na utamaduni wa kuheshimiana na kupendana kama taifa, uendelee kuimarisha umoja na amani ya mama Tanzania.
ni muhimu sana kutambua kwamba serikali makini na sikivu sana ya CCM imara, iko kazini chini ya kiongozi madhubuti sana na kipenzi cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan
Ma CHADEMA yataishia kutukana matusi tu hapa maana hiyo lugha hayawezi kuielewa vizuri na hata kilichozungumzwa kwenye video hiyo hawawezi kuelewa kitu.Mungu wape ufahamu CHADEMA waelewe maana ya video hiyo .