imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 27, 2024 #21 Lucas Mwashambwa said: Ma CHADEMA yataishia kutukana matusi tu hapa maana hiyo lugha hayawezi kuielewa vizuri na hata kilichozungumzwa kwenye video hiyo hawawezi kuelewa kitu.Mungu wape ufahamu CHADEMA waelewe maana ya video hiyo . Click to expand... 👆 ni wakupuuzwa.
Lucas Mwashambwa said: Ma CHADEMA yataishia kutukana matusi tu hapa maana hiyo lugha hayawezi kuielewa vizuri na hata kilichozungumzwa kwenye video hiyo hawawezi kuelewa kitu.Mungu wape ufahamu CHADEMA waelewe maana ya video hiyo . Click to expand... 👆 ni wakupuuzwa.
N Nziiri sr JF-Expert Member Joined Aug 8, 2023 Posts 872 Reaction score 1,290 Aug 27, 2024 #22 ChoiceVariable said: Lugha kama hizi ndio mamlaka zinatakiwa kuzikomesha mara Moja. Utaratibu uliowekwa uko kisheria na sio Kisiasa kama unaona Kuna shida guata taratibu za kisheria Click to expand... Watu wakitoa maoni tofauti na unavyoona weee basi ni shida?
ChoiceVariable said: Lugha kama hizi ndio mamlaka zinatakiwa kuzikomesha mara Moja. Utaratibu uliowekwa uko kisheria na sio Kisiasa kama unaona Kuna shida guata taratibu za kisheria Click to expand... Watu wakitoa maoni tofauti na unavyoona weee basi ni shida?
zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,152 Reaction score 5,854 Aug 27, 2024 #23 imhotep said: Hoja yako ni ipi?! Click to expand... Penda serikali yako kataa chuki
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 27, 2024 #24 zous said: Penda serikali yako kataa chuki Click to expand... Kwanini Mandela hakiupenda Serikali yake ya Makaburu?!
zous said: Penda serikali yako kataa chuki Click to expand... Kwanini Mandela hakiupenda Serikali yake ya Makaburu?!