Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Rais wa Zambia [emoji1268] mheshimiwa Hakainde Hichilema alienda Juzi Congo kwenye mkutano wa SADC, Jana walipomaliza tu mkutano akakwea pipa akasepa. Hana tamaa za kutaka kukaa mda mrefu kwenye ma.Nchi ya watu anajua kwake Kuna majukumu mengi yakulijenga Taifa.
Hongera sana mwanademokrasia, mwanasiasa shupavu unayejali utu ilikuwa usiku wa kiza lakini wewe hukujali ukasema zege hailali site, saizi upo Zambia kuwatumikia wananchi.
Hongera sana mwanademokrasia, mwanasiasa shupavu unayejali utu ilikuwa usiku wa kiza lakini wewe hukujali ukasema zege hailali site, saizi upo Zambia kuwatumikia wananchi.