Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hii ni chapa nyingine huwezi linganisha na Marais wenye kauli za kulamba lipsiBinafsi ninapenda motorcade yake ipo very simple, President H&H ndio generation mpya ya viongozi ambao Africa inatakiwa iwe nayo
Nasio mshamba wa kuzunguka hovyo kila nchi unataka ufike. Huwezi Maliza ma.Nchi yote utaonekana wa ajabu sanaAlafu uzuri wake sio mbabe
Una magari matatu tu. Yeye hanaga majivuno kila sehemu anapiga selfii na wananchi wakeUnaweza kukuta msafara wake ulikuwa Mdogo sana
Mkuu binafsi nimenufaika na changes za President huyu, barabarani kumetulia mno na hakuna zile fedha za kiwi kwa traffic officer'sHii ni chapa nyingine huwezi linganisha na Marais wenye kauli za kulamba lipsi
Kwahiyo unafrahi askari kutolewa barabarani huku ajali kila siku zinachinja watu. Ndohawa wakiingiaga kanisani wanaomba mchungaji asahau kukusanya sadakaMkuu binafsi nimenufaika na changes za President huyu, barabarani kumetulia mno na hakuna zile fedha za kiwi kwa traffic officer's
Ubabe ni elements za ushambaLakini ni kwamba kaenda huko Alafu Zambia haina ushawishi kama tz kwaio kuona bora asepe tu
Nachompendea huyu mwamba sio mbabe
Nope mkuu, kuna factors nyingi zinazosaidia kuleta usalama barabarani, traffic officer's ni factor mojawapo na ni ndogo sana,ZAMBIA wamepunguza mno traffic officer's, wanaimarisha barabara zao, kupata driving licenses ni zoezi linalochuja hasa, tujahitaji more police ku patrol our neighborhood kuliko kula bribes barabarani, hakuna serious accidents zilizolipotiwa kutoka 🇿🇲Kwahiyo unafrahi askari kutolewa barabarani huku ajali kila siku zinachinja watu. Ndohawa wakiingiaga kanisani wanaomba mchungaji asahau kukusanya sadaka
Naam Naam jinunulie mwenyewe[emoji38].Rais wa Zambia [emoji1268] mheshimiwa Hakainde Hichilema alienda Juzi Congo kwenye mkutano wa SADC, Jana walipomaliza tu mkutano akakwea pipa akasepa. Hana tamaa za kutaka kukaa mda mrefu kwenye ma.Nchi ya watu anajua kwake Kuna majukumu mengi yakulijenga Taifa.
Hongera sana mwanademokrasia, mwanasiasa shupavu unayejali utu ilikuwa usiku wa kiza lakini wewe hukujali ukasema zege hailali site, saizi upo Zambia kuwatumikia wananchi.
View attachment 2327088View attachment 2327089View attachment 2327090View attachment 2327091
Kwani hujui hili jukwaa linaitwaje !? Period [emoji706]Hamieni huko tuachieni bongo yetu siku nzima mnafungua nyuzi za HH
Bure kabisaa
PRESDENT ANAPUMZIKAA BANA ,AFU MJUE HUYO NI MAMA SI MWANAUME KAMA YEYE ,ANAHITAJI KUPUMZIKA ASEERais wa Zambia [emoji1268] mheshimiwa Hakainde Hichilema alienda Juzi Congo kwenye mkutano wa SADC, Jana walipomaliza tu mkutano akakwea pipa akasepa. Hana tamaa za kutaka kukaa mda mrefu kwenye ma.Nchi ya watu anajua kwake Kuna majukumu mengi yakulijenga Taifa.
Hongera sana mwanademokrasia, mwanasiasa shupavu unayejali utu ilikuwa usiku wa kiza lakini wewe hukujali ukasema zege hailali site, saizi upo Zambia kuwatumikia wananchi.
View attachment 2327088View attachment 2327089View attachment 2327090View attachment 2327091