Rais wa Zanzibar aagiza Meli zote za Serikali ziuzwe kwa vile hazileti faida

Meli karibu zote za kisasa duniani zinatumia heavy diesel oil.
 
Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??

Does it stick in mind?
Hiyo ndiyo faida ya ushindani wa kibiashara. Kama hutoi huduma nzuri unawekwa pembeni automatically. Hata kwa serikali ya JMT hizo ndege za ATCL zilitakiwa ziwe na competitors ili tuchague kilicho bora, lakini walianza kuwakaba shingo private investors ili wabaki wao. TBC yenyewe haiwezi kujiendesha, watu hawana interest na programs zake. Rais Hussein Mwinyi yuko sahihi kabisa.
 
Tatizo kuwa viongozi wa mashirika huchaguliwa na raisi hakuna kuangalia kama wana weledi wakazi au laa.
Hata kama shirika linakula hasara hakuna kupunguza watu kazi hakuna kufukuzwa mtu.
Ukiwa na weredi sio rahisi ufanye kazi kwa mshahsra wa 15 million labda uwe na mpango wa kwenda kuiba.

Top management staffs in top private sector companies mshahara ni zaidi ya 20,000 + US dollars.
 
Zile
Ni mei binafsi we matakooo
We ndo mk";':*!@ndu kweli ,kuwa meli binafsi za azam itashindwaje serikali isipate faida wakati wote wanafanya biashara ili wapate faida. Achana na mawazo mgando
 
Kitu ninachojiuliza ni kwamba tuliaminishwa ATCL ilikuwa inaingiza faida kwa maana mpaka inatoa gawio kwa serikali, lakini kinachoshangaza papo hapo tunaambiwa ATCL imeingiza hasara ya mabilioni kwa serikali! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Alichokiamua Rais Hussein Mwinyi ni bora mara 50. Ndio ziuzwe ikiwezekana zinunuliwe boti ndogo za biashara.
 
Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??

Does it stick in mind?

Nasikia aibu; sasa shirika la ndege ndo kituko, wanadaiwa zaidi ya asset zao that means shirika doesn’t exist
 
Nipate pesa, nijiandae kununua ndege za serikali, maana najua bado ni mpya na zitauzwa kwa bei che.
 
Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??

Does it stick in mind?
Ndio, kwasababu huwezi kuniambia nisipande Azam au Zanzibar One eti nipande MV Mapinduzi 2! Then angalia jinsi Azam alivyodorminate hiyo biashara, usafiri wa uhakika unaokwenda na muda pia sasa hiyo MV Mapinduzi ya Serikali umeiona ilivyo?!
 
Je,Kuna umuhimu wa serikali kuendelea na mradi wa bandari ya Bagamoyo ili kufanya mradi wa SGR kuwa wenye tija?
 
Serikali kufanya biashara siku zote ni maumivu
Labda washirikiane na mtu binafsi
Ila wakiwa wenyewe ni hasara tupu,upigaji nk

Ova

Ila wao wanapapara ya kuwabambika wenzao makodi wanapowaona wanafanya biashra vizuri
 
Tunataka ubepari lakini tunaendesha nchi kijamaa wakati huo huo tunataka kuendesha mashirika kibepari.

Full of contradictions, we should make a choice either we sell all public assets or we retain them.

It's a failure which most of the former socialist countries are in that catch. We invariably retake the companies which we unloaded off yesteryears.
 

Mimi wananimaliza hayo majina ya hayo meli zao, MAPINDUZI, MKOMBOZI Hopeless kabisa hawa jamaa
 
Ila wao wanapapara ya kuwabambika wenzao makodi wanapowaona wanafanya biashra vizuri
Si wanajua hata wakitumia pesa ovyo
Wao watazirudisha kwa style nyingine

Wakati umefika na wao serikali na vyombo
Vyao wasimamie vizuri,pesa na matumizi za pesa wanazozikusanya

Ova
 
Baada ya kuuza meli,wafumue pia na mfumo mzima wa usimamizi wa meli.Kama hakuna tija maana yake ni kwamba utendaji ni hovyo.
 
Zitauzwa kwa hasara kwelikweli mi nashauri zikazamishwe huko Nungwi
 
Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??

Does it stick in mind?
Kwanza ni meli za nini? Mizigo tanker abiria uvuvi? Hasara inatoka wapi? Mikopo madeni uendeshaji au meli nzee? South Korea uchumi umeshikwa na meli, Sweden shirika la maersk ni roho ya uchumi wao, sie tatizo nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…