Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.
Nashukuru kwa kunielewa.Ujumbe ukieleweka hata kama umechanganya lugha, sio tatizo sana.
Binafsi nimekuelewa
Mimi sioni aibu kusema kuwa mwinyi ni katika orodha ya viongozi wangu bora kabisa katika suala zima la kuongea vitu vyenye mantiki.Najitahidi kutokuanza kumsifia Rais Mwinyi...Ila akiendelea na hili la kurekebisha mifumo - hasa ELIMU - na kushirikisha wadau na wataalam, kweli Zanzibar itafika mbali. Afrika tuna advantage ya kuleap-frog, tusirudie makosa ya mataifa mengine bali tujifunze na kwa kuangalia uhalisia wa mazingira yetu na fursa tulizonazo. Ajitahidi kutokuendeshwa na matukio, aangalie "the bigger picture", awe strategic and adaptive... Mola azidi kumjalia hekima, usikivu na afya njema.
NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.
Kweli kabisa! Muda ni mwalimu mzuri. Mola atujalie uhai na sisi, ili turudi kufanya tathmini baada ya mwaka.Mimi sioni aibu kusema kuwa mwinyi ni katika orodha ya viongozi wangu bora kabisa katika suala zima la kuongea vitu vyenye mantiki.
Katika suala la utendaji tumpe muda zaidi.
Najitahidi kutokuanza kumsifia Rais Mwinyi...Ila akiendelea na hili la kurekebisha mifumo - hasa ELIMU - na kushirikisha wadau na wataalam, kweli Zanzibar itafika mbali. Afrika tuna advantage ya kuleap-frog, tusirudie makosa ya mataifa mengine bali tujifunze na kwa kuangalia uhalisia wa mazingira yetu na fursa tulizonazo. Ajitahidi kutokuendeshwa na matukio, aangalie "the bigger picture", awe strategic and adaptive... Mola azidi kumjalia hekima, usikivu na afya njema.
NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.