Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

Mnyukano wa nyumba moja!! Wakimalizana na wapinzani watafuata wao kwa wao!
 
Wakati alisema.

Nchi imehalibiwa sana hii..!

Naamini yeye ataihalibu kuliko waliohalibu mwanzo.
 
Hawezi maana hiyo ni pre 2025 kuwa Rais wa JMT.
Halafu wife kuna wakati unakuwaga na point, ila kuna muda mwingine ukiwaga umekula maharage fulani fulani sikuelewi kabisa.
 
All in all Mwinyi apewe muda, ameshaongea mengi na kuadhimia mambo mengi sana tuone kwa vitendo sasa, moja ambalo sasaivi karibu analimudu kwa 80% ni nidhamu serikalini na sehemu za huduma ingawa bado urasimu upo, jengine amefanikiwa kuondoa utawala wa chura kwenye ngazi ya watendaji amepiga fyagio la nguvu sana kuondoa wale waliozoea kurudi madarakani kila rais akitangazwa,. yaani ni safi sana, safi sana. Tunalosubiri sasa ni Maendeleo ya kiuchumi hasa kule Pemba mana alisema pemba kulitengwa sana awamu zilizopita waliimarisha zaidi Unguja, lakini tunamsubiri kwenye uchaguzi wa 2025 je atakubali wapemba wapelekewe vifaru na majeshi ya kukodi toka ruwanda? lakini je atafanikiwa kuondoa Upemba na Uunguja, mazombi walikokuwa wanapiga watu majumbani bila sababu? haya mambo nina hamu nayo sana kumuona huyu jamaa kama kweli ni Genius.

Hayo mambo ya kusoma gazeti kwenye ndege sijui Baraka Obama i don't care
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema inahangaika na mambo ya kijinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafunikwa vipi sasa?

Mbona mko wajinga sana?
 
Mwendo wa HAM ni talk the talk and walk the walk- amerejesha "ngazi mia "to rightful owners-Wanamoezi tumeelewa .Zanzibar ni zaidi ya tofauti zetu. UNITY IN DIVERSITY.
 
Umeongea pumba isipokuwa sentensi mbili za mwisho.

MWINYI AWE MAKINI NA MZEE WA CHATO. JAMAA ANAPENDA KUABUDIWA YEYE TU NDIO MAANA HATA BARAZA LA MAWAZIRI KAWEKA MAFALA WATUPU ILI WAZIMZIDI UMAARUFU.
 
Unamteua Waziri Mkuu halafu unamdhalilisha mbele za watu kuwa nitakutandika wewe na shangazi zako na yeye anakenua tu meno badala ya kujiuzuru.

Siku nyingine anakudhalilisha tena kuwa hata meseji zako huwa sijibu ili usijione upo karibu na mimi. Huo si ufala?

Au naongea uongo ndugu zangu?
 
Halafu wife kuna wakati unakuwaga na point, ila kuna muda mwingine ukiwaga umekula maharage fulani fulani sikuelewi kabisa.
Sasa hivi tunaelewana usijali. 2021 mwaka wa maelewano.
 
Kero ni pale alipoapishwa kama waziri mbele ya rais picha zake ziliwekwa mitandaoni.

Hayapo mazoea ya rais wa Zanzibar kuapishwa halafu picha zikawekwa hadharani.

Wawili hawa mpaka 2025 watakwaruzana sana chini kwa chini.

Ukizingatia yule anamwamkia huyu.
 
Zanzibar kwa sasa inahitaji raisi wa aina hiyo. Siyo mtu serious na raisi mkali wa kumwogopa.
 
Kikwete and Mwinyi are 2 different people. Kikwete alikuwa jangling. He was Minister wa madini, finance etc. ukijua hela Ali Ona o nje utatapika. I think Mwinyi is a genuine guy, he cares. Kikwete didn’t care. Alisafiri weekly kama Samia. Does Samia know where Songea is?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…