Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo :
1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni kuamini katika kazi iwe kwa hiari au kwa ngumu, Watu wafanye kazi, kodi zikusanywe kwa Namna yoyote ile iwe kwa Nguvu au Hiari na kunakuwa na ubabe Mwingi kwa wasio upande wa Serikali. Mtu mtu mwingine alie wahi tumia huu mtindo na Mao ze Dong na China yake mpaka wamefika hapo ingawa watu wengi kwa mamilioni walipoteza Maisha. Hapa watu hawatakuwa na Furaha sana ila maendeleo yatakuwepo.
2. Furaha, hapa ni kuwapa amani na uhuru wafanye kazi ,walipe kodi ila mnacho fanya viongozi ni kuweka mazingira wezeshi kama miundo mbinu na kodi Rafiki .Hivyo hapa wananchi watapata maendeleo na machozi ya Furaha pia .
Hizi namna zote ni nzuri lakini inategemea na watu unao waongoza ,watanzania tunapenda raha sana uhuru ukiwazidi watakupanda kichwani hata kama unawafanyia maendeleo .chaguzi ya kwenda na zote kung'ata na kupuliza itawafaa sana.
kwa kifupi Tears cannot bring to people joy but development But Joy can Bring .
Uchaguzi ni wenu na Uongozi ni Kama Mechi ya Mpira muda wowote mnaweza tafuta Magoli watanzania wakawa na Furaha na wakapata maendeleo au mkachagua namna ya kutuliza huku tunapata Maendeleo.
Wana JF ni maoni tu