Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Salaam!
Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu.
Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila mtoto haijalishi wako au ni wakambo. Jaribu kuenjoy kama Diamond na Jux, Urais wako ni tunu hivyo usiondoe hiyo baraka, nakuomba pokea ushauri wangu.
Umemteua Makonda kwa lengo la kuimarisha chama na kuleta amsha amsha za Uchaguzi Mdogo ila mwambie hawa jamaa wametia pamba masikioni hawaelewi jambo, hivyo ajitahidi kutunza kinywa chake na mkono wake japo najua ametubia.
Kwako Rais mwenzako aliyepita awali aliwasikiliza CHADEMA na kutekeleza kila hatua wanayotaka ila baadaye fujo zao kuwa Magufuli anaiga sera za CHADEMA ndiyo hapo vita ikaanza, hivyo kuwa makini mkono wako usichafuliwe kwa tone la damu na sema nao kwa ishara ikiwa hawatakusikia.
Nawasilisha.