Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu yangu Samia,
Ninajua umezongwa na vimemo,
Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania.
Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia CBA imeungana na NIC kuwa benki kubwa.
Kabla hili halijawa kubwa naomba ulishighulikie,nchi yetu inataka ajira sio kupunguza wafanyakazi.