Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hapingani na mama.....anaboresha mazingiraMbona ulikuwa humshauri dikteta wakati anagawa vyeo kwa majambazi? Sidhani kama Mama anahitaji ushauri wa wanafiki kama wewe
Unamfahamu huyu jamaa vizuri? Kipindi cha jiwe ndiye alikuwa mpiga mapambio namba moja, hajawahi kuanzisha mada ya kumshauri or kumkosoa jamaa, na alikuwa mstari wa mbele kupambana na waliokuwa wanafanya hivyo.Hapingani na mama.....anaboresha mazingira
Shiiiiiii......huyu ni viti maalumu pale kwa Ndugai!Huna adabu kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania..kama una akili utaelewa umekosea wapi kwenye post hii
Viti maalum ana njaa kali hiviš¤£Shiiiiiii......huyu ni viti maalumu pale kwa Ndugai
Aisee hana adabu mnooo...hawa watu the late aliwapa nn?? Na kwann wanamdharau mama...mama samia ndiye rais wetu...hakuna namna inabidi wakubaliShiiiiiii......huyu ni viti maalumu pale kwa Ndugai!
Kwanini unamtukana?!Mjinga mkubwa wewe!
Hana njaa.Viti maalum ana njaa kali hiviš¤£
Alitolewa mbali...bavicha..hadi unaibu si mchezoUnamfahamu huyu jamaa vizuri? Kipindi cha jiwe ndiye alikuwa mpiga mapambio namba moja, hajawahi kuanzisha mada ya kumshauri or kumkosoa jamaa, na alikuwa mstari wa mbele kupambana na waliokuwa wanafanya hivyo.
Msamehe bure hawa vijana hawajitambui ni sabaya type!Kwanini unamtukana?!
P