Mkuu ungesema wewe binafsi unatamani asirudi tena madarakani kwakua hajafanya hivi au vile, lakini huna uwezo wala uhalali wa kumpa Rais ultimatum yoyote
Na kwenye sanduku la kura kwa bahati(utachagua mwenyewe kama ni nzuri au mbaya) wanaochagua ni karibia milioni ishirini. Je? umeingia mawazoni mwao wote hao?!!!
Hili ndio lilikuwa dhumuni lako kubwa kulisema sasa umezunguka weeee kutujazia server zetuNa asirudi
Hatumtaki
Penda utaratibu wa kujiongelea nafsi yako. Ni busara zaidi.Na asirudi
Hatumtaki
Ni vigumu kumridhisha mtu mmoja mmojaAtakapokuja kwenye kampeni atueleze hizi ahadi zake amezitekelezaje sio anaonba kura tena ilihali ahadi za awali zimemshinda, pia hata wewe hapo sijaona ulichojibu zaidi ya upuuzi wa kujitoa ufahamu
Hayo ndio yatakuwa majibu,kama hutaki unaruhusiwa kumchagua Hashim Rungwe,sie tupo kaziniUmeambiwa Rais ajibu hayo anapoomba kura kwa wananchi, Mbona una kiherehere kama mkojo wew . Ivi huoni mtoa mada kaongea mambo muhim apo au ?
Lete ukweli wako hapa tupingane kwa hoja
Mimi ningeridhika sana na aliyokwishafanya, hata nusu yake kama angezingatia hiyo namba moja tu, yaani 'namba 7' katika andiko lako lote.7. Uliuahidi umma wa Watanzania utazingatia utawala bora kwa kifuata misingi ya katiba na sheria za nchi lakini kila mtu amejionea mambo yalivyokua ndivyo sivyo, kuna wakati katiba inakanyagwa kabisa hadharani na hakuna wa kuhoji.
Na asijibu tu. Tutamuonyesha..