BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Wana ccm wenye akili tayari wanatambua kuwa kiama ya ccm ni Mwaka huu
Kama kwa wizi - jecha style, sawaCCM itashinda kwa kishindo. Utashangaa na roho yako
Hata Jecha style haiko salama tena!Kama kwa wizi - jecha style, sawa
Hata kwa wizi safari hii hatutakubali.Kama kwa wizi - jecha style, sawa
CCM itashinda kwa kishindo. Utashangaa na roho yako
Jibu ni kuwa CCM haishindi uchaguzi wa mwaka huu. Amini nakwambia. Lissu ndo raisi wa Tanzania kuanzia October 2020Hata kama Itashinda ila sio kwa kishindo, na kama ni kwa kishindo ni kwa kunajisi uchaguzi.
Jiandaeni kukabidhi ikulu za Magogoni na Chamwino kwa Lissu October 2020Hakuna uchaguzi mwepesi kama huu kwa ccm
CCM itashinda kwa kishindo. Utashangaa na roho yako