Rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wote wanapokuwa mbumbumbu wa sheria na katiba

Rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wote wanapokuwa mbumbumbu wa sheria na katiba

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
253
Reaction score
35
Ndgugu zangu wanaJF magreat thinker nimeona leo tujadiri hii mada maana imenisumbua na kunigusa sana.
Wakati mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati na madini unaendelea liliibuka suala la rushwa lililomhsusisha sn katibu mkuu wa wizara hiyo bw. David Jairo, kwa vile wote tunaifahamu hii sio vizuri kuirudia tena.
Wakati waziri mkuu akiliomba bunge kuahirisha mjadala ule alioneshwa kukerwa sana na kitendo cha Jairo na akakiri mbele ya bunge letu tujufu (sijui kama ni takatifu kweli), akasema amewasiliana na rais wake lkn bahati mbaya bado yuko angani hajatua SA hivyo akifika tu atasema nini kifanyike kwamba na yy suala hilo limemkera sana. Kesho yake waziri mkuu alijitokeza na kusema kuwa rais amempa maagizo mapya na anayafanyia kazi. Wakati tukiendelea kungoja pm ataamrishwa afanye nn JK ghafla PS bw. Luhanjo akajitokeza na kuongea na vyombo vya habari pale ddm. Alianza kwa kusema kuwa madaraka ya kuwafukuza makatibu wakuu, DC na RC, ktk maelezo yake aliongea yy kama yy na tume ameunda yy hakuonesha kauli yoyote ya kuwa ametumwa na raisi, makamu, pm au spika. Maswali yangu ni haya;
1. Waziri mkuu aliamuaje kumpigia cm Jk ilhali anjua mwenye mamlaka yuko bongo au ni umbumbumbu wa sheria?
2. Jk alipopigiwa cm ilitakiwa amwamie pm kuwa wasiliana na Luhanjo anayo madaraka ya kufanya hivyo km mm sipo badala yake akamdanganya kwa kusema nikitua nitakujb au ni umbumbumbu?
3. Waziri wa sheria na katiba bw. Chikawe si alikuwepo bungeni, kwa nn hakumtonya pm kuwa kanuni zinasema hv au ni umbumbumbu?
NDG ZANGU TUNAPOFIKIA HATUA YA KUONGOZWA NG VIONGOZI MAJUHA KM HAWA NI VIGUMU KUFIKA POPOTE.
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom