Rais wetu Jakaya Kikwete anaangushwa na wateule wake!

Nashukuru AmaniKatoshi,

Kifupi, JK hana nguvu ya kupiganga na uozo huu kwa sababu uozo huu ndio uliomuweka madarakani.

Nimekusikia mkuu...na ndio maana inakuwa anajiangusha mwenyewe!


Shule hii iliyopo morogoro, along the highway to Mikumi ni mfano wa jinsi JK na CCM wamefanikiwa kutekeleza manifesto yao ya UCHAGUZI wa 2005!

 
nchi hii!!
hilo VX hapo nyuma si lingeweza kulipia ujenzi wa vyumba vya madarasa hata ma-3!hao watoto wakasoma japo kwa shift!

anyways kwao wao,mtendaji kutembelea VX ndio maendeleo..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…