S shinyangakwetu JF-Expert Member Joined Jun 25, 2015 Posts 2,487 Reaction score 2,396 Nov 27, 2019 #1 Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene. Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa????? Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene. Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa????? Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
HizMAJESTY Senior Member Joined Aug 6, 2019 Posts 130 Reaction score 523 Nov 27, 2019 #2 Mbona wafungwa walisamehewa na kwingineko, ofisi ya DPP ikatoa na takwimu. Au huko kwenu hamkuinuliwa?
Mbona wafungwa walisamehewa na kwingineko, ofisi ya DPP ikatoa na takwimu. Au huko kwenu hamkuinuliwa?
A adobe JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 2,770 Reaction score 1,887 Nov 27, 2019 #3 Tusaidie tafadhali hizo takwimu HizMAJESTY said: Mbona wafungwa walisamehewa na kwingineko, ofisi ya DPP ikatoa na takwimu. Au huko kwenu hamkuinuliwa? Click to expand...
Tusaidie tafadhali hizo takwimu HizMAJESTY said: Mbona wafungwa walisamehewa na kwingineko, ofisi ya DPP ikatoa na takwimu. Au huko kwenu hamkuinuliwa? Click to expand...