Rais William Ruto aipongeza Tanzania kwa kuongoza na kuipiku Kenya kwenye sekta ya biashara Afrika Mashariki

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Rais wa Kenya, William Ruto, ameisifu Tanzania kwa kuwa nchi inayoongoza kwa kufanya biashara kwa ukubwa zaidi Afrika Mashariki ikiizidi Kenya ambayo zamani ilikuwa ndio nchi kinara kwa kufanya biashara Afrika Mashariki

Akizungumza mjini Arusha, Tanzania, Ijumaa, Novemba 29, 2024, wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Ruto alikiri kuwa Kenya inalega lega katika masuala ya kibiashara ndani ya Afrika Mashariki.

Kenya.png

"Naipongeza Tanzania kwa kuipiku Kenya katika bidhaa na huduma tunazouza na kununua ndani ya Afrika Mashariki. Kenya ilikuwa nchi inayoongoza kwa bidhaa na huduma tunazouza na kununua katika ukanda huu," alisema Ruto.

Kwa mujibu wa takwimu za mwaka ulioishia Juni 2024, Tanzania iliuza bidhaa zenye thamani ya KSh bilioni 540 kwa Uganda, hatua iliyoiwezesha kuchangia asilimia 42.56 na kuifanya Tanzania kuwa ndio nchi inayoongoza kuingiza bidhaa nyingi zaidi Uganda ikifuatiwa na Kenya na Afrika Kusini.

===================================================

Speaking during the 25th commemoration of the East African Community (EAC), President William Ruto admitted Kenya had lagged behind in trade

In November 2024, Tanzania surpassed Kenya as Uganda's largest source of imports in Africa, importing goods worth KSh 540 billion In the year ended June 2024, Tanzania accounted for 42.56% of Uganda's imports from Africa, while Kenya and South Africa accounted for 19.55% and 6.43%, respectively.

President William Ruto has praised Tanzania for surpassing Kenya in goods and services traded in the East African region. Why William Ruto commended Tanzania Speaking in Arusha, Tanzania, on Friday, November 29, during the 25th commemoration of the East African Community (EAC), Ruto admitted Kenya had lagged behind in trade.

"I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa. Kenya was the leading country in terms of goods and services that we trade in the region"

Source: Buzzroom Kenya, Tuko
 
hala
Rais wa Kenya, William Ruto, ameisifu Tanzania kwa kuwa nchi inayoongoza kwa kufanya biashara kwa ukubwa zaidi Afrika Mashariki ikiizidi Kenya ambayo zamani ilikuwa ndio nchi kinara kwa kufanya biashara Afrika Mashariki

Akizungumza mjini Arusha, Tanzania, Ijumaa, Novemba 29, 2024, wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Ruto alikiri kuwa Kenya inalega lega katika masuala ya kibiashara ndani ya Afrika Mashariki.

"Naipongeza Tanzania kwa kuipiku Kenya katika bidhaa na huduma tunazouza na kununua ndani ya Afrika Mashariki. Kenya ilikuwa nchi inayoongoza kwa bidhaa na huduma tunazouza na kununua katika ukanda huu," alisema Ruto.

Kwa mujibu wa takwimu za mwaka ulioishia Juni 2024, Tanzania iliuza bidhaa zenye thamani ya KSh bilioni 540 kwa Uganda, hatua iliyoiwezesha kuchangia asilimia 42.56 na kuifanya Tanzania kuwa ndio nchi inayoongoza kuingiza bidhaa nyingi zaidi Uganda ikifuatiwa na Kenya na Afrika Kusini.
fu mhuni mmoja kutoka chadema anakuja kukataa hapa na kuongea mambo ya hvyo mitano tena MAMA SSH
 
mpk sasa krb 40% ya bidhaa zilizo Tz ni made in Kenya ila Ruto anatupiga changa la macho
 
hala

fu mhuni mmoja kutoka chadema anakuja kukataa hapa na kuongea mambo ya hvyo mitano tena MAMA SSH
angalia bidhaa unazotumia nying ni made in Kenya , mjinga akisifiwa analala na unamshinda kiuchumi kbs , hii kauli ya Ruto itawafany ccmu waache kaz na kuanza kuitumia kujinadi kisiasa
 
hala

fu mhuni mmoja kutoka chadema anakuja kukataa hapa na kuongea mambo ya hvyo mitano tena MAMA SSH
angalia bidhaa unazotumia nying ni made in Kenya , mjinga akisifiwa analala na unamshinda kiuchumi kbs , hii kauli ya Ruto itawafany ccmu waache kaz na kuanza kuitumia kujin
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO CHADEMA NYIE WAHUNI MNAPENDA TUWE NYUMA TU KAMA SIYO NCHI YENU WENZENU WANATUSHESHIMU NYIE WATZ WENZETU MNAPONDA AIBU KWENY
 
1732960498044.png

Anyway say anything about Ruto ila ni tapeli mjanja mjanja ana anajua kula na vipofu...
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO CHADEMA NYIE WAHUNI MNAPENDA TUWE NYUMA TU KAMA SIYO NCHI YENU WENZENU WANATUSHESHIMU NYIE WATZ WENZETU MNAPONDA AIBU KWENY
Acha utoto angalia ndan kwako humo , mm hapa kwangu nimeangalia box la glucose ( Kenya) , chumvi ( Kenya ) , sukari ( Kenya ) , toothstick ( Kenya ) , mafuta ya kupaka / lotion ( Kenya ) , notesbook ( Kenya ) , earsticks ( Kenya ) , fen ( Kenya ) , dawa ya maswali ( Kenya ) , kiwi ( Kenya ) , spray ( Kenya ) hiyo ni KIUFUPI tu ila krb nusu ya bidhaa hapa ndan ni made in Kenya , hata kwako pia Iko ivyo ila umbu mbu wako unakaza fuvu

Ruto anawaokota maboya au ukute kalipwa na mama ili ccmu kupata ujiko.
 
Wewe mpumbavu wa wapi?
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO CHADEMA NYIE WAHUNI MNAPENDA TUWE NYUMA TU KAMA SIYO NCHI YENU WENZENU WANATUSHESHIMU NYIE WATZ WENZETU MNAPONDA AIBU KWENY
unasifiwa kinafki nawe umejaa, kweli ccm imejaa mavilaza watupu akiloi makamasi
 
Back
Top Bottom