Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
 
PhD na uongozi ni wapi na wapi, wengi wa walio na hizo Phd mara nyingi kwenye utawala wako watupu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…