Serikali ndo imenunuaKwani mshahara wake hautoshi kunujua hiyo saa? Msiwashushe sana watu wenye hela zao
Kama wanajengewa majumba ya mabilioni kununuliwa magari ya mamilioni itashindwa kuwanunulia saa? Ikiwa sofa mashuka vitanda maji chakula hadi pasi ya kunyoshea nguo serikali inanunua?Serikali ndo imenunua
DahRais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya ambazo ni sawa na milioni 111,565,761 pesa za Tanzania.
View attachment 2717105View attachment 2717106
Kwa biashara zake za kifisadi hiyo ni pesa ndogo sanaRais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya ambazo ni sawa na milioni 111,565,761 pesa za Tanzania.
View attachment 2717105View attachment 2717106