ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hii ni rekodi zaidi ya Vasco Da Gama.
Sijajua kama safari zina tija au laa.
Watanzania huwa wanasema Samia anasafiri sana ila Ruto ni kiboko.
Nimekuwa nikifuatilia safari za Rais Samia kwa muda mwingi zimejikita kwenye mambo ya diplomasia ya Uchumi na Biashara, kuhusu Kenya sijui wenyewe watakuja kuelezea.