Rais William Ruto: Nyie endeleeni kuniita "Kasongo" tu!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa kawaida licha ya nafasi yake ya juu serikalini.
Your browser is not able to display this video.


Pia, Soma;
-
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

- Katibu Mkuu COTU, Francis Atwoli: William Ruto atakuwa Rais katika uchaguzi wa 2027 kufikia saa 4 asubuhi
 
Trump kauliza kwanini mnamwita zakayo a.k.a Ruto kwa sasa kasongo ?
 
R
Rais bora kabisa kwa Afrika kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…