Rais William Ruto wa Kenya afanyia kazi ushauri aliopewa JF ili kujinusuru

Rais William Ruto wa Kenya afanyia kazi ushauri aliopewa JF ili kujinusuru

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Na hii ndio mbinu aliyoitumia JPM, badala ya kuwabebesha wananchi mzigi mkubwa wa kodi, serikali zinapswa kuacha kununua mashangingi mapya na fenicha za maofisini kila mwaka, badala yake yafanyiwe tu ukarabati.., pia kubana uchezeaji pesa kwenye warsha, semina na safari za nje zisizo na tija..
IMG_0047.jpeg
IMG_0046.jpeg

IMG_0045.jpeg
 
Na hii ndio mbinu aliyoitumia JPM, badala ya kuwabebesha wananchi mzigi mkubwa wa kodi, serikali zinapswa kuacha kununua mashangingi mapya na fenicha za maofisini kila mwaka, badala yake yafanyiwe tu ukarabati.., pia kubana uchezeaji pesa kwenye warsha, semina na safari za nje zisizo na tija..
View attachment 3034450View attachment 3034451
View attachment 3034452
Tanzania haijawahi kuacha kununua magari ya gharama kwa serikali. JPM hotuba yake ya kwanza kwenye bunge alioneysha atasitisha ununuzi wa magari hayo akawa anasema anashangaa mtu anaenda kukagua barabara na landcruiser ya kifahari badala ya double cabin ila naye hakutekeleza hiki na kugongela msumali akanunua hadi ya chama na pole pole akawa anajisifu unaijua V8.
So kuhusu la magari hapo si kweli hata kidogo.
 
Back
Top Bottom