Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
757
Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
 
Ila kwa umri wake mdingi Bado yupo fiti aisee
 
Baada ya mugabe, huyu ndie anayefuatia kwa mahoka
 
Saafi!! Kwa umri wake kipo anachoingiza si sawa na mkaa bure.
 
Back
Top Bottom