pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kama namuona anavyonuna JPM.Lile bomba la mafuta limeishia wapi?
Hahahahahahah,ila kiukweli nilisikia TOTAL sijui wanalalamika nini,wanaweza badili mawazo na likapitia Mombasa.Liko kwenye hati hati na baada ya kuwatundika 3 kwa nunge anaweza kulipitisha Kenya 😎
Hahahahahahah,ila kiukweli nilisikia TOTAL sijui wanalalamika nini,wanaweza badili mawazo na likapitia Mombasa.
ugua pole pole tu...yani hakuna vyenye mseven angechagua reli ya tanzania...Begging uganda to keep using mombasa port after they threatened to abandon it with its SGR
Liko kwenye hati hati na baada ya kuwatundika 3 kwa nunge anaweza kulipitisha Kenya [emoji41]
Uhuru is the most wasteful president kenya has ever seen..Organising a huge ceremony with 21 gun salute for a neighbour like M7 is just extravagance..ugua pole pole tu...yani hakuna vyenye mseven angechagua reli ya tanzania...
economics zinasemaje kuhusu hzo gharama za uhuru kuenda mombasa kw kutumia ndege...si huoni ni gharama anatumia kodi za wananchi vibaya...na km ni bandari angeliipiga picha na kumtumia museven kuliko ya kuharibu kodi kw gharama zote hzi....
Hahahahahahah,ila kiukweli nilisikia TOTAL sijui wanalalamika nini,wanaweza badili mawazo na likapitia Mombasa.
Uhuru is the most wasteful president kenya has ever seen..Organising a huge ceremony with 21 gun salute for a neighbour like M7 is just extravagance..
How many times has museveni/kagame et al been to Dar cut huge deals in infrastructure and business and you bearly know that a president was visiting?
Uhuru is obsessed with ceremony and pomp which he himself does not even receive when he visits other countries..He foolishly thinks 21 gun salutes for dictators will bring in business deals..What a fool
kule Kagame kwa JPM, huku M7 kwa Uhuru.Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewasili Mombasa leo hii asubuhi. Alipokewa na mwenzake rais Uhuru Kenyatta kwenye uwanja wa ndege wa Mombasa Intl. Airport. Viongozi wengine ambao walimpokea pia ni pamoja na Naibu Rais William Ruto na Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho. Rais M7 na U.K. waliandamana moja kwa moja hadi ikulu ya Mombasa kwa majadiliano. Baadhi ya masuala ambayo watayajadili ni pamoja na kuboresha kasi ya usafirishaji wa mizigo ya Uganda kutoka bandari ya Mombasa. Watajadili kuhusu reli ya SGR pia ambayo Museveni yupo makini kuona ujenzi kutoka Naivasha-Kisumu-Malaba hadi Uganda ukikamilika. https://www.standardmedia.co.ke/bus...eni-arrives-in-mombasa-for-state-visit-photos
Hilo sahau...Bomba kuhamishwa kwa sasa haiwezekani..Kwa sasa navyo ongea kuna makampuni yapo kazini yakifanya detailed design ya bomba hapa Tanzania....!! Nitakupigia picha siku nikipita watapo kuwa wameweka kambiUK yuko busy sana kumshawishi M7 abadili mawazo na hilo la kubadili mawazo linaweza kabisa kutokea.
M7 analeta tamaa anataka ayasafishe palepale kwa wingi wakati Total naye anataka asafirshe kwa wingi but wamefika mwafaka.possibly juneKama namuona anavyonuna JPM.Lile bomba la mafuta limeishia wapi?
Such a ceremony takes atleast 100m ksh in logistics et al..If you add the numerous trips uhuru takes abroad every week with zero results(among Least FDI in EAC) The figurez are in billions..JPM outflanks the drunkard with a shoe string budget and puts his Foreign affairs personnel to work..In kenya it seems like the president is without a foreign affairs ministry or embassies abroad as he is mostly out.Your jealousy knows no bounds.
How many 'millions' do you think 21 gun salute cost?
And Museveni has been to Tanzania like 2 times in the past 5 years. As opposed to like 20 times in Kenya.
In almost all of those times he has been to Kenya, there are no gun salutes, because if you were bright enough, you would know how to differentiate a normal visit from a state visit.
Every president on a state visit gets a gun salute. Museveni is on a state visit.
Such a ceremony takes atleast 100m ksh in logistics et al..If you add the numerous trips uhuru takes abroad every week with zero results(among Least FDI in EAC) The figurez are in billions..JPM outflanks the drunkard with a shoe string budget and puts his Foreign affairs personnel to work..In kenya it seems like the president is without a foreign affairs ministry or embassies abroad as he is mostly out.