Rais Yoweri Museveni awasili Mombasa kwa ziara rasmi ya siku mbili

Kenya ni wajanja wanachochanga mtu aingie box and then tuku control,si siwajinga kumuekea grand entrance,nigga inaitwa psychology,juu we know what we will benefit from them[emoji111]
 
Nafikiri UK ni raisi bora kwa ss ndani ya Kenya yenu amepqmbqna na tribalism now anajipqmbqnuq nq rushwa
 
Mimi na sema Uhuru angetumia pesa za matembezi na makaribisho kama kibaki tungekua vizuri..Tukumbuke kwamba hukuna serikali iliyo fanya vizuri kama ya kibaki
mbna mchumi wangu wanibwaga...si ilkuwa wewe wapinga sherehe sai umeniruka jamani ukaenda kwenye budget...thats not fair...

kwn we ni mkenya...wacha mzaha bana...unaleta mzaha mpka katika uraia
 
Kakaa madarakani miaka mingapi huyu? Usimuamini dikteta hata kwa sekunde moja.
Ili ni tatizo la africa karibu yote,ona kenya katiba bomba kuliko ya marekani but wanatengeneza figisu ili wafanye referendum itakayawafaa wajanja wote wale kwa vizingizio vya ufisadi na nk...na imefika time wanataka kumtoa kafara Ruto,je na yeye Uhuru ana vimeo vingapi vyake na familia yake hasa bro. wake Muhoho ambaye hata issue ya sugar ya somalia naye yupo lakini maghala yake ya sukari hayajaguswa kwenye kamatakamata which is double standard ya wazi.tena ona kenya now ni kama one party state after hand shake ,no opposition mpaka wammalize Ruto ili wabaki ma prince 2.Tutafute hela hawa wanasiasa watatupasua vichwa tu
 
Hilo sahau...Bomba kuhamishwa kwa sasa haiwezekani..Kwa sasa navyo ongea kuna makampuni yapo kazini yakifanya detailed design ya bomba hapa Tanzania....!! Nitakupigia picha siku nikipita watapo kuwa wameweka kambi
Ukisikia imani za kuhamisha milima ndio hizi
Eti mtu anaamini upo uwezekano hilo bomba kuhamia Kenya, nonsense
 

And yet the GDP gap keeps increasing every year.
Magufuli has accomplished exactly nothing of note. Other than reduced freedoms, and cooked data.

We have a very active foreign ministry. Even as you cook all other data, the one thing you can't dispute is how lame your foreign ministry is. Nothing accomplished. Apart from constant claims here on JF of how Uganda is going with your SGR, nothing accomplished.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…