Rais Zelensky ahimiza vikwazo zaidi dhidi ya Urusi

Rais Zelensky ahimiza vikwazo zaidi dhidi ya Urusi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1646639953731.png

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu kushambulia majengo ya Kijeshi na Viwanda ya Ukraine.

Pia, ametoa wito wa kuwafikisha mahakamani wanaoamuru na kutekeleza uhalifu huo akisema hawajali na wanatangaza wazi ukatili uliopangwa kufanyika.

Ameeleza kuwa, ujasiri huo ni ishara tosha kwa Nchi za Magharibi kwamba vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia havitoshi.
===

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has appealed to the West to strengthen sanctions on Russia

In a video statement, Zelenskyy criticised Western leaders for not responding to the Russian defence ministry’s earlier announcement that it would attack Ukraine’s military-industrial complex.

“I didn’t hear even a single world leader react to this,” Zelenskyy said. “The audacity of the aggressor is a clear signal to the West that the sanctions imposed on Russia are not sufficient.”

Zelenskyy also called for organising a “tribunal” to bring to justice those who order and carry out such crimes. “Think about the sense of impunity of the occupiers that they can announce such planned atrocities,” he said.

The Russian defence ministry had said its forces intend to attack Ukraine’s military-industrial complex with what it said were “precision” weapons and urged staff to leave, in a statement carried by the Russian state news agency Tass.

Source: Al Jazeera
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu kushambulia majengo ya Kijeshi na Viwanda ya Ukraine...
Vikwazo zaidi ni muhimu hasa kwa sababu ya mauaji holela yanayotekelezwa na Putin hata kwa watoto na akina mama!!!
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu kushambulia majengo ya Kijeshi na Viwanda ya Ukraine...

Source: Al Jazeera
Kazi iendeleee, huyu jamaa apimwe akili anazani ni mahakama gani inaweza kumkamata.

Bwana Putin[emoji23][emoji23]
 
Vikwazo zaidi ni muhimu hasa kwa sababu ya mauaji holela yanayotekelezwa na Putin hata kwa watoto na akina mama!!!
Ukraine yeye kule Urusi anaua mbuzi ?

kumbuka wanapigana sio kwamba Ukraine hajibu mashambulizi
 
Warusi wakiamua kuung'oa uhai was volodmir Zelensky Ni swala la muda tu.. Kama waliweza katikati ya jiji la London watashindwa Kiev au Warsaw? Tuonee
 
Back
Top Bottom