BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewaita viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kuwa ni majambazi na kufutilia mbali uwezekano wa mpango wa amani utakaovigeuza vita vya Ukraine kuwa mgogoro uliositishwa. Kauli ya Zelensky inakuja wakati kilio na huzuni vikitanda kufuatia shambulizi la Urusi kwenye mgahawa katika mji wa Kramatorsk mashariki mwa Ukraine lililowaua watu kiasi 10.
Chanzo: DW,
Chanzo: DW,