Rais kikwete kama siyo tangazo hebu wazuie hawa clouds media group ile sauti yako inayosikika unasifia fursa radio cloudz fm...mim nahisi kama wanakuchora vile kila muda wanapiga tu kama tangazo lao au kama ni tangazo wakulipe kama vipi
Malimbukeni tu,hzo ni dalili za kutokujiamin,yaan kuwepo sauti ya jk bas wanaona clouds ndo kama radio ya london,wangejua wakina kanye ambavyo hawana shobo na obama tena rais wa dunia sembuse huyo wenu wa east africa?? Ulimbukeni tu,