Maneno mengi ya kiswahili tuliyoyarithi kutoka lugha za kigeni aghalab huishia na consonant. Yafuatayo ni maneno machache ya Kiarabu yanayoishia na consonants ambayo yanaweza kutumiwa kwenye Kiswahili kama yalivyo.
Aghalab (often)
Aslan (in reality, essentially)
Bahr (sea)
Barid (cold)
Bas (enough)
Hayat (life)
Huzn (sorrow)
Ilm (knowledge)
Jamal (beauty)
Kathr (much or many)
Khususan (especially)
Kitab (book)
Maktab (Library)
Mashghul (Bussy)
Miskin (poor)
Mizah (Joke)
Mustqabal au Mustkabal (future, prognosis, matokeo)
Nadir (rare)
Rakhis (cheap)
Sabab (reason)
Shabab (youth)
Shughl (job, business)
Shukran (thanks)
Tawfiq au Tawfik (good luck)
Thalathin (thirty)
Umm (mother)
Ustaadh (teacher, prof.)
Wakf or Waqf (Donation for religious purposes)
Waqt (time)
Watan (homeland)