πraia yoyote aliesavaivu kipindi hicho upstairs lazima awe vizuri.
View attachment 3583246
Sana em imagine unaingia kwenye pepa ya math bila calculator duh! πMlikuwaga magenius kweli ππΎ
Unacheka niniππ
Ety na four figure tu πSana em imagine unaingia kwenye pepa ya math bila calculator duh! π
Unanza kuhesabu vidoleπEty na four figure tu π
Maisha ni haya haya tu shindiiTuliteseka bure tuπββοΈπββοΈ
Sio poa ety sasahivi unapiga mtihani picha halafu kazi yako ni kucopy na ku paste πUnanza kuhesabu vidoleπ