Raise your hand if you survived in school without Tablets, Wi-Fi, calculator or Google

raia yoyote aliesavaivu kipindi hicho upstairs lazima awe vizuri.
View attachment 3583246
Hatukusoma chekechea/vidudu wala kutumia vifaa vya kisasa ila ule usumbufu tuliouonesha(brightness)uliwaacha watu vinywa wazi na alhamdulillah maisha yaendaaa!Tulisaidiwa sana kwa kula matunda aina ya ntalali,mbuguswa na ndati.
 
๐Ÿค” Hakika kama raia alisavaivu kipindi hicho lazima awe vizuri upstairs
 
chatgpt anakufanyia kazi yako yote๐Ÿ˜, watoto wa siku hizi wana raha sana, sisi tuliosoma chini ya miti tuliteseka mno, unakaa dar shule ipo tanga kila siku unaenda shule,
Bora nyie, sisi shule ilikuwa ukerewe na hakukuwa na meli, humu tu๐ŸŠโ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ