Raise your hand if you survived in school without Tablets, Wi-Fi, calculator or Google

Mamq mchungaji seran kwani unaogopa kuolewq ukerewe utatumiwq mamba kwenye glass
Naogopa vibaya mno baba mtakatifu! Mambo ya kukaa chooni unawaza mamba asijetumwa akapita na mnofu akhaaπŸ€£πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Duh Adriz uwe unasalimia jamani
AI si ya juzi tu hapo na ikakukuta hujamaliza kusoma πŸ˜€πŸ˜€
Tena ilinikuta semester ya pilli mwaka wa kwanza , imeniokoa sana maana mimi ni mbovu wa kufanya assignment.

Research sikutumia gharama nilikuwa na simu yangu nina app za Ai kama 6 kila Ai Ina kazi yake Maalumu kwenye research, Kuna ya mahesabu, maelezo nk kazi kuedit , copy and paste japo na akili yangu ilishughulika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…