Raisi JK kikwete na naibu wazili wa Elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo waongo wakubwa.

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Raisi JK kikwete na Philipo Mulugo naibu wazili wa Elimu na mafunzo ya ufundi kwa wakati tofauti walitangazia uma posta za walimu wapya ni mwezi january 2013 lakinihajakua hivyo zaidi ya kushuhudia wakishindwa hata kuilipia domainya wizara ya elimu.Raisi JK kikwete akiwa kati ya moja ya wizara yake mkoani tabora wiraya ya NZEGA aliwahidi wanaichi kuwa mwezi juanuary atawapelekea walimu kwa kuwa ni moja ya wiraya yenye upungufu kubwa wa walimu.

Raisi JK kikwete pia katika hotuba yake ya kufunga/kuuaga mwaka 2012 aliutangazia uma kwamba mwezi january wataajiri walimu wapya 28746

Philipo Mulugonaibu waziri wa Elimu katika kpndi cha dkk45 cha ITV aliahid wizara yake itatoa ajira kwa walim wapya mapema january, lkn cha ajabu january ndo hiyo imeisha bila ya tamko, huku vijana wetu wakiangahika mitaan wasijue nn cha kufanya na wkt huo huo shule nying zikiwa hazina walim na wimbi la kufel lkiwa na janga ssa, je serikal inawahadaa watz, au elim kwao si jambo la kipaumbele.

Philipo Mulugonaibu waziri wa Elimu katika mahafari ya chuo ualimu mkwawa aliahid wizara yake itatoa ajira kwa walim wapya mapema january, lkn cha ajabu january ndo hiyo imeisha.

JE WEWE UTAIAMINI VIPI HII SERIKALI YA VIONGOZI WAONGO?

Sasa kama mwalimu anaandika hivi, ujue tumekwisha!!
 
Try hard to be very serious when you're writing public speeches. Avoid unnecessary mistakes as you've done in your post.
 
Hata wiki haijapita tangu niseme kwamba UKIMUAMINI MULUGO NA WEWE UTAKUA UNA MATATIZO
 
Kama Mwalimu unaandika hivi, natangaza wazi kuwa wanafunzi wako wamekwisha ... kosa si lao bali kulazimishwa uwe mwalimu wao.

Vinginevyo wewe ni mkimbizi uliteiba cheti cha mtanzania na kupata ajira Tanzania.
 
ujumbe wako umefika lakini kumbuka kuwa ajira hii kwa sasa ni adhabu, je upo tayari kuadhibiwa au unavizia fedha za kujikimu?
km ndivyo nasikitika kukupa taarifa kuwa serikali ya ccm kwa sasa haina fedha ndio maana inagopa kutoa ajira mpya na kwa aina ya uandishi uliouonesha na km wewe ndiwe mwathirika wa kuchelewa huko kwa ajira tunashukuru kwa kuwa umeonesha sehemu ya aina ya walimu wanaosubiri hiyo ajira mpya!
 
We usituaibishe walimu tafadhali futa hoja yako tafathal we c mwalimu unaandika kama drs la 3b??
 
Back
Top Bottom