Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

Habari ndo hiyo..
Yule msomalia kashinda tena
Nasikia kuna mchakato wa kubadili hiyo tittle ya 'Rais wa TFF' na badala yake iwe 'Mfalme wa TFF' ili aendelee kusalia kwenye hicho kiti mpaka atakapotwaliwa na muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…