PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika.
Wakati hayo yakiendelea Huko Senegal, hapa nchini kwetu tumeona kwenye budget yetu tukiongezewa mzigo zaidi wa Kodi huku wakifikiria kutuwekea Kodi zaidi kwenye mafuta pamoja na tozo Kwa kila mtumiaji wa simu, viongozi hawa viziwi akina mwigulu na bashe ambao walitengeneza mfumuko wa bei hasa kwenye sukari wajifunze kwa bwana mdogo wa Senegal