Raisi mstaafu Moi alikuwa "anatengeneza" Makabila!

Sijasema kama kulikuwa hakuna makabila, la hasha, Makabila yalikuwepo ila siyo kama tuyajuavyo leo hii, Wazungu(Wakoloni) waliwapanga watu upya, labda nikuulize kwa nini Tanzania tunaita Wapare lkn Kenya wanaitwa Wataita? lkn kwenye takwimu inajulikana kama Wataita ni kabila tofauti na Wapare ambapo siyo kweli kwani wote ni wamoja ila kuna Mtawala aliaamua kujenga mpaka na kusema ninyi mtakuwa Kabila la Wataita na wale kule ni Kabila la Wapare lkn watu wamoja, ...
 
Unachanganya Mambo mengi sana kwa wakati mmoja
Wakoloni walitumia mbinu nyingi kututawala baadhi ni INDIRECT(hii ilikuwa partial destruction of african culture) na DIRECT(hii ilikua total destruction of african culture) rule system.
 
Lkn haujasema ni wapi nilipochanganya, kusema hivyo unarahisisha tu, unaweza kufafanua kama ukipenda!
 
Lkn haujasema ni wapi nilipochanganya, kusema hivyo unarahisisha tu, unaweza kufafanua kama ukipenda!
Kiufupi naweza sema MOI/WAKOLONI hawakutengeneza makabila na hawawezi kutengeneza unless uzungumzie kudidimiza au kuboresha makabila walioyakuta
 
Kiufupi naweza sema MOI/WAKOLONI hawakutengeneza makabila na hawawezi kutengeneza unless uzungumzie kudidimiza au kuboresha makabila walioyakuta

Basi labda haujelewa ninachoongelea lkn siyo lazima kama pia hautaki kuelewa/kukubali, kwani nimetoa mifano lkn unaikwepa hautaki kujibu!
 
Alichokosea ni kusema kua Moi aliunda makabila ,ila anahoja japo hajaiweka bayana.Kwa mfano jamii ya waluhya,kuna makabila madogo 18 ambayo yanaunda kabila kubwa la kiluhya na hatujui ni vigezo vipi walitumia kuweka hao watu wote kuwa kabila moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…