Raisi samora alivyopiga marufuku kusali nchini msumbiji na kulitesa kanisa katoliki.

Raisi samora alivyopiga marufuku kusali nchini msumbiji na kulitesa kanisa katoliki.

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.
 
Attachments

moja ya masharti ya renamo kuacha vita ilikuwa ni kumtaka samora arudishe uhuru wa kuabudu na mali zote za kanisa katoliki alizowanyang'anya. Hii ilisababisha mpaka Papa Paulo kuingilia kati kuja Msumbiji kuwapatanisha Renamo na Frelimo. Je leo hii wewe mkristo ungegundua kuwa Samora alikuwa natetea kufutwa dini kwa dini msumbiji, ungempenda kweli na kumuenzi jina la mtaa wa Iliyokuwa zamani independence avenue?
 
..kwa jinsi udini unavyotusumbua hata Tanzania, nitamuunga mkono kiongozi atakayechukua uamuzi kama wa Samora.
 
yaani sijui nani katulaani, tukiamka dini, tukila dini, tukifanya kazi dini, tukizungumza dini kila kitu dini, ukitaka kupata hamasa ya watu zungumzia dini, dini dini dini, so what?, mambo ya samora na msumbiji hayatuhusu sisi kwa sasa, yalishapita, na walishayasuluhisha, ila bado tunatafuta mambo ya dini aaaaagh
 
Udini bado unatutesa vichwani mwetu ndio maana kila kukicha watu wapo radhi hata kuingilia mlango wa nyuma ili waldte mada za udini! Peleka jukwaa la dini.
 
Yaani unakuta mtu anaamka kitu cha kwanza kuwaza ni dini, anapiga mwayo udini, maisha yakitupiga utaskia ooo serikalí, sijui blah blah blah... my foot. Next time ipeleke kwenye jukwaa la dini ili wafu mkazikane huko..
 
Utakatifu ni heshima ya juu kabisa ktk kanisa la Roma na ni utamaduni wao wala sio tikiti ya kwenda mbinguni. Siku ukienda jehannamu na ukawakuta waliopewa heshima ya utakatifu usije ukaenda kuwapa makavu.
 
Walei wana tabu sana aisee,yani huyu mlei katika matatizo yote ya taifa hili yeye kaona mambo ya samora,renamo na mfumo katoliki ndani ya Mozambique tena enzi hizo,okey tusingemuunga mkono,so what?
 
Wewe mleta mada, tupe sababu hasa ya Samora kuuchukia ukatoriki, au walitaka kuleta mambo ya ulaya, kugonoka na watoto wa kiume
 
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.

Huu ulioandika ndiyo uthibitisho kwamba nyerere hakulitumia kanisa katoliki katika kuendesha inchi bali hekima na busara.

Kumekuwa na uzushi kuwa yeye aliasisi mfumo kristo lakini wewe umebainisha kwamba hakuwa na upande wowote kiimani

katika kuwaongoza watanzania kulingana na ulivyoijenga hoja yako.
 
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.

Nimesoma hizo pdf files. Hazina uzito. Kitabu kaandika nani?

Kwa wale wanaolalamika kuhusu dini kuzungumziwa mara kwa mara niwajibu hivi. In the final analysis, it is the only thing worth discussing. Yote mengine yatadummu miaka michache, lakini yale ya dini ni for eternity.

Mwalimu alinyanganya shule za Wakristu, na hata za Waislamu, kama alivyofanya Samora. Wote walikuwa wamelewa socialism. Kwa wale wasiofahamu, ni kwamba shule kama Weruweru, Umbwe, Pugu, Kilakala, na nyingine zilikuwa za Kanisa Katoliki.

Mwalimu anaweza kabisa kuwa Mbinguni (yaani ni Mtakatifu) na ni sala yetu iwe hivyo. Ila sidhani kama atakaa atangazwe Mtakatifu. Kwa sasa ni Mtumishi wa Bwana. Hatua ya pili ni kutangazwa Mwenye Heri, lakini sitarajii kwamba atafikia hatua hii ya pili.
 
Back
Top Bottom