moja ya masharti ya renamo kuacha vita ilikuwa ni kumtaka samora arudishe uhuru wa kuabudu na mali zote za kanisa katoliki alizowanyang'anya. Hii ilisababisha mpaka Papa Paulo kuingilia kati kuja Msumbiji kuwapatanisha Renamo na Frelimo. Je leo hii wewe mkristo ungegundua kuwa Samora alikuwa natetea kufutwa dini kwa dini msumbiji, ungempenda kweli na kumuenzi jina la mtaa wa Iliyokuwa zamani independence avenue?
..kwa jinsi udini unavyotusumbua hata Tanzania, nitamuunga mkono kiongozi atakayechukua uamuzi kama wa Samora.
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.
ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.