Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video...
Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi
KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA WAZI KUWA HAWA WATU NDIO WANAISHI DUNIANI
Na ndio maana trump hamtaki huyo Jerome Powell anataka mtu mpya inaonekana wanachengana mahali!.
Hizi mtu mbili huwa zikiongea basi soko la forex lazima zifurukute ikiwa taarifa hizo zitagusia mambo ya uchumi...