Raisi Uhuru Kenya ,,I told you so”!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Mpendwa Uhuru Kenya!

Nilikuonya lkn haukusikia sasa ni zamu yako, nilikushauri kwamba ,, Pull the trigger first” haukusikia ukajifanya Mwanademokrasia na kutaka kusifiwa na Muzungu sasa zamu yao ya kukumaliza tena bila ya huruma imefika, hautakuwa Raisi Kenya siku chache zijazo kuna ,,Kenya spring” inakuja watu milioni 10 wataingia barabarani Jeshi litakataa kuchukuwa Amri kwako kushoot kwani Muzungu atawaambia Ma-general wako wakitaka wasishitakiwe wasikubali Amri ktk kwa ,,illegal President” na huwo ndiyo utakuwa mwisho wako wataku-arrest bila ya huruma wala demokrasia na kukukabidhi Jela kwa Muzungu Hague ukaishi na Gbagbo huko wakimuapisha Raila Odinga!

President Raila Odinga ata drain the swamp na kuchukuwa Mali ya Kenyata family na huwo ndiyo utakuwa mwisho wa Kenyata dynasty na mwanzo wa Jaluo dynasty!

Nilikuonya hukutaka kusikia umecheka na Nyani sasa utavuna mabua, umeshachelewa ulipaswa kudestroy before they grow, hata hivyo good luck!

Wako

Barbarosa!
 
Ulimshauri kupitia wapi.??
 
aiseee... uzuir wa jamiifroums kila mtu anakuwa mshauri na anaweza sema alimshauri mtu flan akauza uza chai siku ikapita.
 
Ujinga wako peleka Lumumba, Kenyatta ni chaguo la wakenya ,wakenya hawapo tayari kuingia barabarani na kumwaga damu kwa Sababu ya MTU mwenye tamaa za urais kama ccm.
 
Rubbish...!!
Odinga, your a*s!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…