Raisi vunja Bunge la katiba haraka iwezekanavyo

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
Muheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Kinachoendelea Bungeni ni aibu tupu kwa Taifa.Kwa uwezo uliokuwa nao vunja Bunge la katiba na uchague wajumbe wasio wanasiasa.nawasilisha
 
Haiwezekani maana katiba ni siasa labda CHADEMA wasusie mbali na hapo hakuna maana wao wamejipanga kuleta fujo bungeni
 
Muheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Tanzania,Kinachoendelea Bungeni ni aibu tupu kwa Taifa.Kwa uwezo uliokuwa nao vunja Bunge la katiba na uchague wajumbe wasio wanasiasa.nawasilisha

Huu ni ushauri wa kipuuzi kabisa siuuungi mkono hata kidogo.
 
Haiwezekani maana katiba ni siasa labda CHADEMA wasusie mbali na hapo hakuna maana wao wamejipanga kuleta fujo bungeni

Mimi sio chadema wala CCM lakini nilichokiona leo mtu mzima wa CCM ndio ameanza kumlopokea yule dogo kwamba mtoto mdogo huna adabu, naye akamjibu alivyojua.... ukisema chadema wamejiandaa kufanya fujo sikuelewi wakati mwingine tuache ushabiki tuseme kweli tu wewe mtoa hoja mwogope Mungu hata kama umeamua kuwa mshabiki wa chama.
 
tujuzeni mlio karibu hilo li senema
 
Muheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Kinachoendelea Bungeni ni aibu tupu kwa Taifa.Kwa uwezo uliokuwa nao vunja Bunge la katiba na uchague wajumbe wasio wanasiasa.nawasilisha

Ehhhh.....,,
 
Muheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Kinachoendelea Bungeni ni aibu tupu kwa Taifa.Kwa uwezo uliokuwa nao vunja Bunge la katiba na uchague wajumbe wasio wanasiasa.nawasilisha

me naona rais akuchague wewe labda ndo utakuwa na akili kuwapita wao
 
Kama hayo yanayotokea Bungeni kwako ni aibu, suluhisho ni wewe ufanye mambo mawili tu ;
(1). Hama Tanzania
(2).Kunywa Sumu Ufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…