FADHILI KIKA
Member
- Jun 10, 2013
- 6
- 0
Unajua ninashangwazwa sana kwa namna rasimu hii inavyompa majukum mengi raisi,ufanisi mzuri wa utendaji ni mgawanyo wa kazi kwa watu mbalimbali kuna ulazima gani wa kuchagua uongozi mkubwa alafu mamlaka mengi analimbikiziwa raisi kwa nini wasipunguze kwa makamu wa raisi wa muungano,kwa mawaziri wa tanganyika na zanzibar au makamu wa tanganyika na zanzibar?,wana j mnasemaje kwa hilo?