Raisi wa jamhuri na majukum mengi

FADHILI KIKA

Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Unajua ninashangwazwa sana kwa namna rasimu hii inavyompa majukum mengi raisi,ufanisi mzuri wa utendaji ni mgawanyo wa kazi kwa watu mbalimbali kuna ulazima gani wa kuchagua uongozi mkubwa alafu mamlaka mengi analimbikiziwa raisi kwa nini wasipunguze kwa makamu wa raisi wa muungano,kwa mawaziri wa tanganyika na zanzibar au makamu wa tanganyika na zanzibar?,wana j mnasemaje kwa hilo?
 

Mkuu we ukutoa maoni kwenye rasim ya katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…